Tumia LDC sabuni bora kabisa

 



LDC

Ni kisafishaji kizuri ambacho ni laini, kilichokolea/concentrate, 

LDC ina matumizi mengi sana yanayo linda mazingira ya mtumiaji na hina madhara kiafya

Ni sabuni namba 1 inayokata mafuta duniani 🔥

 

KAZI ZA LDC

Mchanganyo wake 1:3

Inamaana sehemu 1 ya LDC iliyoyeyushwa/dilute hadi sehemu 3 za maji na mchanganyiko huo unaweza kutumika 

👉🏼 Kusafishia kwa maeneo Yote ya nyumbani kwa kufuta kuondoa uchafu na mafuta ,

👉🏼kuosha vyombo (kwa maji baridi au chumvi) - yenye ufanisi kwenye vyombo vya glasi kama vile kwenye sufuria na vikaango

👉🏼Sabuni isiyo kali lakini bora ya kunawia Mikono ambayo ni nzuri sana kwa maeneo ya maji magumu yanayokataa sabuni kushika 

👉🏼Kuogea 

👉🏼kufulia nguo laini kama nguo za ndani

👉🏼Inatumika kuoshea mboga mboga na matunda 

👉🏼Na unaweza kupigia mswaki, ni dawa nzuri ya kinywa


Ni multi purpose inatumika maeneo mengi na utumikaji wake ni kidogo na matokeo yake ni makubwa hivyo inasave pesa

Post a Comment

0 Comments