Salmon oil kwa mtoto
Mafuta ya samaki ya salmon oil yanakaz zifuatazo;
✍️Husaidia kuboost ubongo wa mtoto na kujitambua
✍️Atakua na akili darasani
✍️Husaidia kuboost kinga ya mtoto
✍️Husaidia kumwondolea mtoto matatatizo ya macho
✍️Yatamkinga mtoto na (infection) mashambulio ya magonjwa
✍️Yatamkinga mtoto na madhara ya moyo
✍️Yanatengeneza ngozi ya mtoto
✍️Yanatengeneza mifupa imara kwa mtoto.

0 Comments